MWONGOZO WA JAMII - MWONGOZO WA USHIRIKI WA JAMII UNAOZINGATIA JINSIA KWENYE UWEKEZAJI MKUBWA KATIKA ARDHI
WEZESHA KUPAZA SAUTI, KUDAI HAKI

Paper publication date:
Sunday, January 1, 2017
Uwekezaji kwenye kilimo unaweza kuwanufaisha wanajami wa kawaida, lakini ushahidi unaonesha kwamba matokeo si mazuri kwenye uwekezaji mkubwa wa ardhi barani Afrika hususani kwa wanawake na jamii. Hali ya kuwakandamiza wanawake imesababisha kukosa haki ya kumiliki ardhi. Wanawake wameachwa nyuma katika kupata fursa za kushiriki na kupaza sauti zao kuhusu mahitaji yao katika uongozi wa maeneo ambayo hupendekeza utoaji wa ardhi ya jamii kwa muwekezaji.
Pakua kitabu hiki kinachotoa mwongozo kwa jamii juu ya ushiriki wa jamii unaozingatia jinsia kwenye uwekezaji mkubwa katika Ardhi.