MWONGOZO WA MWEZESHAJI- MWONGOZO WA USHIRIKI WA JAMII UNAOZINGATIA JINSIA KWENYE UWEKEZAJI MKUBWA KATIKA ARDHI

WEZESHA KUPAZA SAUTI, KUDAI HAKI

Mwongozo wa mwezeshaji cover
Paper author: 
Oxfam
Paper publication date: 
Sunday, January 1, 2017

Mahitaji ya ardhi barani Afrika yameongezeka. Sababu ni nyingi, kati ya hizo ni ongezeko la idadi ya watu, mahitaji yanayohusiana na ujenzi wa miundo-mbinu na makazi, ukuaji wa miji pamoja na mahitaji mapya ya ardhi kwa ajili ya kilimo katika kukabiliana na mmomonyoko na uharibifu wa ardhi. Jambo muhimu la kuzingatia ni kwamba katika muongo mmoja uliopita, ardhi imekuwa katika mfumo wa uwekezaji mkubwa kwa maslahi ya ndani na nje. Wakati shinikizo la rasilimali zisizo na mipaka ya ardhi linavyoongezeka, haki za jamii juu ya ardhi na rasilimali katika nchi hizi zimezidi kuwa hatarini.

Pakua kitabu hiki kinachotoa mwongozo wa mwezeshaji kuhusu wa ushiriki wa jamii unaozingatia jinsia kwenye uwekezaji mkubwa katika ardhi.