Mahitaji ya ardhi barani Afrika yameongezeka. Sababu ni nyingi, kati ya hizo ni ongezeko la idadi ya watu, mahitaji yanayohusiana na ujenzi wa miundo-mbinu na makazi, ukuaji wa miji pamoja na mahitaji mapya ya ardhi kwa ajili ya kilimo katika kukabiliana na mmomonyoko na uharibifu wa ardhi. Jambo...