Mwongozo wa mwezeshaji

Mwongozo wa mwezeshaji cover
Mahitaji ya ardhi barani Afrika yameongezeka. Sababu ni nyingi, kati ya hizo ni ongezeko la idadi ya watu, mahitaji yanayohusiana na ujenzi wa miundo-mbinu na makazi, ukuaji wa miji pamoja na mahitaji mapya ya ardhi kwa ajili ya kilimo katika kukabiliana na mmomonyoko na uharibifu wa ardhi. Jambo...
Subscribe to RSS - Mwongozo wa mwezeshaji